COMBINATION YA HGE

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
25
Reaction score
8
Habari wakuu?

Niende kwenye mada,
Hivi form six aliyesoma HGE chuo kikuu atasoma coz gani?

Natanguliza shukurani zangu kwenu maana nategemea kupata majibu mazuri.
 
economics

Account

Banking

Tax

Business admnistration

Finance

Vitu ni ving saana. Angalia interest yako ipo wapi.

Chukua tcu guide book ya mwaka husika angalia vigezo zaidi.
 
economics

Account

Banking

Tax

Business admnistration

Finance

Vitu ni ving saana. Angalia interest yako ipo wapi.

Chukua tcu guide book ya mwaka husika angalia vigezo zaidi.
Ahsante sana mkuu!!
 
Habari wakuu?

Niende kwenye mada,
Hivi form six aliyesoma HGE chuo kikuu atasoma coz gani?

Natanguliza shukurani zangu kwenu maana nategemea kupata majibu mazuri.
Mm pia nimexoma hyo comb na ninategemea kwnda kuxomea course ya loustics and transport management nackia inalipa ila wigo wa ajira ndo cjajua imekaaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…