Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 477
- 1,205
Habari wana JF,
Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa
Economics - C
Geography - C
Mathematics - S
Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa
Economics - C
Geography - C
Mathematics - S
Habari wana JF,
Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa
Economics - C
Geography - C
Mathematics - S
Akapige Tax pale ITAHabari wana JF,
Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa
Economics - C
Geography - C
Mathematics - S
Vipi kuhusu soko la ajira pamoja na swala zima la mikopoaingie pale ardhi university, akapige BE
Architecture au actuarial scienceKwani yeye alivyokua anasoma alitegemea akifika chuo angependa kusoma nini? Yaani i mean nini passion yake?
Kwa hizo grades actuarial Science hawezi kuchaguliwa, labda asome hiyo architecture.Architecture au actuarial science
Kwanza ana S ya pure mpaka hapo actuarial hapati. Actuarial wanataka A au B ya hesabu... Ajaribu architecture.Architecture au actuarial science
DahHabari wana JF,
Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa
Economics - C
Geography - C
Mathematics - S
Sip kwa marks hizoArchitecture au actuarial science
Hawezi pata kuna competition sanaaingie pale ardhi university, akapige BE
Hawezi pata kuna competition sana
Kijana wangu amepata ECONOMICS E
MATH D na GEOGRAPHY D ameomba IT ardhi university vipi anaweza kupata kweli au competition ni kubwa sana.
Asante mkuu,O level alisoma physics na alipata C.hofu yangu ilikuwa competition kwa sababu wapo wengi wa div 1 na 2.kama alisoma phys olevel atapata, ile sio IT ni ISM information System Management
kupata ni ngumu sana,asitegemee course hiyo tu aombe course nyingi na vyuo vngAsante mkuu,O level alisoma physics na alipata C.hofu yangu ilikuwa competition kwa sababu wapo wengi wa div 1 na 2.
Asante kwa ushauri.kupata ni ngumu sana,asitegemee course hiyo tu aombe course nyingi na vyuo vng