masubi grandson
Member
- May 11, 2018
- 8
- 2
Ivi jamani ukisoma HGE A level chuo kikuu utasoma course gani ukiachana na Ualimu na sheria!!!!!!
Dorrenly93Ivi jamani ukisoma HGE A level chuo kikuu utasoma course gani ukiachana na Ualimu na sheria!!!!!!
mitihan ilikuwaje lakini ?Jamani nahitaji maoni yenu nisaidieji jaman
sijawai ona hii koz chuoni!?Dorrenly93
Asante sanaUkifaulu vizuri unaweza kusoma course zote kasoro za science Kama za Afya, Engineering na za ICT
