Colour Blocking for Men..!!

sion kama yanavutia hta idogo kuna aina ya uvaaji wakiume ambao ni wa kiutanashati zaid sasa weye unatupia na kabegi kama kakwangu kakuekea madaftari ya wanafunzi lolest!
 
mh kweli hizo sijui ntazivaaga wapi tena!!!!
 
mh kweli hizo sijui ntazivaaga wapi tena!!!!

@Mentor..za siku? kuna aina mbali mbali za color blocking si lazima uvae suruali za njano na shati la pink lakini unaweza hata kumechisha suti na ukaonekana wa kisasa si lazima kila siku uwe formal..!

 
duh, naona mashoga wameshika hatamu...hadi wanaigwa, duh so mchezo!!!
 
sion kama yanavutia hta idogo kuna aina ya uvaaji wakiume ambao ni wa kiutanashati zaid sasa weye unatupia na kabegi kama kakwangu kakuekea madaftari ya wanafunzi lolest!

una maanisha hivi??




..Out Dated!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…