Azam tv wanyang'anywe tenda ya kuonesha tpl, wana picha mbaya sana.
Je wapewe TBC wenye picha murua na angavu.Azam tv wanyang'anywe tenda ya kuonesha tpl, wana picha mbaya sana.
Tbccm hawachelewi kukatisha ili wakajiunge na kikao cha ccm, wapewe dstvJe wapewe TBC wenye picha murua na angavu.
Simba raha sana
Msishangilie sana sasa..😂Hata yale mengine matano pia[emoji1787]
Haya kalale karamu wa watu au upo kwenye kazi zako zile..😂Karamu haina matanga wewe
Kazi zengine bhana pepo utaisikia tu.Mimi niko job.lala wewe kesho usisinzie[emoji1787]