Collegue at work out of control | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Collegue at work out of control

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PRECIOUSDOE, Oct 27, 2009.

 1. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji mawazo how to deal with a male collegue Ive been working with for 5 years.He is married with 2 kids.Wa mwisho anamiezi michache yule mwingine ananza skuli.Bibi ni housewife.Huyu mwenzangu tumekaa kwenye desk moja throughout.Tuliingia job na yeye.

  Shida imeanza ambapo alianza kusoma masters.Malipo yakawa yanamzidia.Akawa yuko broke throughout.Tena akapewa kazi stressful.Akawa nikama anarukwa na akili.Anajiongelesha,anapata migraine,analia na ana nose bleed.Mimi na wenzangu tuliyo kuwa karibu naye tuka approach boss wake amepatia kazi light.Akakubali.Tena tukamwelekeza kwa company counselor akaanza counselling.Akawa anaimprove.

  Lakini juzi alipokwenda kujisaidia akapakaa sabuni ili anawe mikono akapata maji yameisha kwa sink akaflush choo na kunawa pale ndani ya ile toilet bowl.Waliyoyashuhudia haya wakaanza kumshuku ama kweli kichwa kinamruka ama vipi.

  For me Im tired manake amenigeuza kuwa mama yake tena ananiambia mambo ya aibu ambayo hayafai hata kidogo.Ati niwachane na urafiki na wanaume wa department zingine kwa sababu haja yao nikunimega.Na kwanini niendee nje ilhali yeye yupo kwa sababu yangu.Ofisini huwa anamwambia kila mtu shida yake.Mimi nimechoka na vituko vyake na ninataka kuhama lakini wenzangu wanasema hakuna mwengine anayeweza kumvulia jinsi ambayo nimevumilia.

  Pls advice what to do because tumejaribu kabisa hapa ofisini kusaidia huyu bwana lakini inaonekana hatuja fanikiwa.Mambo yanaendelea kuzorota na bado anaimba wimbo wa vile ako na stress kibao.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  eeh hili swali sijalielewa elewa vizuri sijui njaa au?
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Uko nchi gani? Una Employee Handbook, kama unayo inatoa guidance gani? Ushaongea na watu wa HR kuhusu hili?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huyo mtu pamoja na kusoma kwake si mstaarabu na huenda kweli ana shida kidogo kichwani.

  Lakini kama ulivyosema, hayo matatizo aliyonayo kwa kiasi kikuwa yanaweza kuchangia sana msongo kichwani na hatimaye kupagawa akili.

  Vipi bosi wenu hawezi kumsaidia kidogo kusolve baadhi ya matatizo ya nayohusu cash ili angalau apate relief?

  Lakini pia, msongo mwingine wa mawazo unakuja kwaajili yako weye dada unaekaa naye desk moja, huoni kwamba anakuhitaji kimapenzi, hali ambayo inamfanya achanganyikiwe juu yako?

  Kweli huyu mtu ana multiple problems...! Councellors please do the needful!
   
 5. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu ukisoma kiswahili chake hicho ni Mkenya tu si unajua tena kiswahili cha Nairobeee!
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naona huyu anahitaji zaidi counceling than any other thing. yawezekana hata home maza house anampeleka spidi mbaya na ukichangia ukata lazima achizike.
   
 7. Q

  Quiet Member

  #7
  Oct 27, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  a)nadhani tatizo lako ni kwamba unamuendekeza (unampa attention) hivyo anachukua advantage through your weakness , jaribu kumuonesha how serious are you wakati anapoleta maongezi ambayo sio ya kikazi.
  b)mripoti kwa uongozi wa hapo kazini kwenu na tumia neno hili "anakunyanyasa kisaikolojia" na kama unavyoongea ni kweli kwamba wengi wamemjua hapo kazini basi ni kwamba utakuwa na ushahidi wa kutosha wa malalamiko yako. (usiache kazi wala usihame, huko ni kujidhalilisha)

  quiet
   
 8. Q

  Quiet Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  a)nadhani tatizo lako ni kwamba unamuendekeza (unampa attention) hivyo anachukua advantage through your weakness , jaribu kumuonesha how serious are you wakati anapoleta maongezi ambayo sio ya kikazi.
  b)mripoti kwa uongozi wa hapo kazini kwenu na tumia neno hili "anakunyanyasa kisaikolojia" na kama unavyoongea ni kweli, kwamba wengi wamemjua maudhi yake hapo kazini basi ni kwamba utakuwa na ushahidi wa kutosha wa malalamiko yako. (usiache kazi wala usihame, huko ni kujidhalilisha)

  quiet
   
 9. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #9
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bibi yake ako supportive kabisa.Siku moja alipokuwa anaumwa kichwa baada ya kutuimbia wimbo wa jinsi anvyo umwa,akatwambia hatuna sympathy za kutosha ati wacha apigie bibi.Alipompigia akamwambia amezidiwa na headache.
  Huyu bwana ni kama mtoto mdogo.Bibi atamshughulikia yeye ama mtoto mchanga aliyemzaa juzi?
   
 10. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #10
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :D
  Yap niko Nairobi
   
 11. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #11
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok! Kweli nimempa attention lakini nikwasababu nilihisi anataka kujinyonga after alianza kuumwa sana tena akasema life yake haina hata meaning.Usiku huwa anashindwa kulala anamwamsha bibi amuombe,that is what he tells us.

  Ofisini watu wengine wanamcheka na wengine anampity.Hata siwezi kumstaki kwasababu huenda akarukwa na akili kwa sababu mimi ndiye rafiki wake wa karibu pale ofisini.Hata nimeshindwa kuhama kwa sababu anaweza hata lia nikimwacha.Yaani ni kama mtoto kabisa.Kumbe utu uzima sio umri ama hata life experience.Yuko unstable so sote tunam handle with kid gloves mpaka mabosses!
   
 12. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poleni sana,
  Nadhani mpelekeni clinic ya akili akaangaliwe vizuri. Tatizo lake linaweza kwisha kwa ushauri wa madaktari.
   
 13. Q

  Quiet Member

  #13
  Oct 27, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwanza poleni sana

  a)naomba jibu la suali hili:-

  kwa ulivyomuangalia , je matatizo yake ni ya akili kweli au ni acting ili atimize haja zake kwako? (wanaume wana ujanja mwingi wanapomtaka mwanamke)

  nauliza suali hili kwa sababu kama ofisi nzima imegundua kwamba huyu kijana hayupo normal sasa ni kwanini mpaka leo anaendelea kuwepo hapo ofisini? kwanini wasimpeleke sehemu husika za kuangaliwa akili zake?

  b) zingatia hili: kuna baadhi ya matatizo hayahitaji huruma katika kuyakimbia au kuyatatua , tahadhari sana usije ukawa victim of the situation kutokana na huruma zako kwa huyo kijana.

  c) ushauri wenye nguvu: mshaurini akaonane na daktari


   
 14. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  je bado anaendelea na masomo? kama ndio
  mshauri aahirishe kitabu.

  i
   
Loading...