college

college

Daaa katuangusha wapenda math
Math kaweza kuscore C alafu phys kaishia kupiga mswaki. Duuuu...

Hapo labda akasome course za business, tena zitakua lais kwake kufaulu.

Mziki kupata kazi kama atapata connection nzur na akapata kazi.
Huko hela ipo ndefu sanaa kama wale majaa wa TRA wapiga hela nzur tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom