Wait they are comingI’m a new student starting college soon and I’m trying to figure out what to wear on a daily basis. Does anyone have recommendations for comfortable and stylish outfits for campus life? I’d love tips for clothes that work for classes, hanging out with friends, and just walking around campus without feeling too overdressed or uncomfortable.
Vaa casual tu hakuna haja ya kujipa pressure unaokutana nao wote wako kawaida tu mdogo wetu..I’m a new student starting college soon and I’m trying to figure out what to wear on a daily basis. Does anyone have recommendations for comfortable and stylish outfits for campus life? I’d love tips for clothes that work for classes, hanging out with friends, and just walking around campus without feeling too overdressed or uncomfortable.
😂😂😂 kwan ni chuo gan?Vaa casual tu hakuna haja ya kujipa pressure unaokutana nao wote wako kawaida tu mdogo wetu..
College tu obvious sio kubwa sana.. or else ni muoga mbele za watu, au ni introvert blood group 0(jox)😅😂😂😂 kwan ni chuo gan?
hapa kuna kila dalili kwamba baba yako aliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe nyingine shule... unaenda kusoma au unaenda fashion show contest? nyie wahitimu wa HKL mna tabu sana wahitumu wa PCM, PCB....hawana muda wa kuwaza ujinga kama huu...comfortable and stylish outfits
Kumbe amesoma HKL au ndio wanasayansi bado mna ile akili ya kujiona perfect kuliko waliosoma arts?hapa kuna kila dalili kwamba baba yako aliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe nyingine shule... unaenda kusoma au unaenda fashion show contest? nyie wahitimu wa HKL mna tabu sana wahitumu wa PCM, PCB....hawana muda wa kuwaza ujinga kama huu...
Bro nawewe ni msomi? Mbona usomi wako hauonekani sasa! Umejibu ambacho haujaulizwa na ulichoulizwa hujajibu.hapa kuna kila dalili kwamba baba yako aliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe nyingine shule... unaenda kusoma au unaenda fashion show contest? nyie wahitimu wa HKL mna tabu sana wahitumu wa PCM, PCB....hawana muda wa kuwaza ujinga kama huu...
Wa kiume😅Mkimaliza kumpa ushaur naomba huyu new member nipewe 😁
mtoto wa kiume ndiye anatafuta comfortable and stylish outfits!!.... 🙄 🙄Wa kiume😅
Huyu wa kike angalia hata mwandiko wake 😅😅😅Wa kiume😅
Ndio watu wanakufa na fashion.. chuo kizima ang’aee😅mtoto wa kiume ndiye anatafuta comfortable and stylish outfits!!.... 🙄 🙄
Jichanganye kijana😂Huyu wa kike angalia hata mwandiko wake 😅😅😅