College of earth science udom

College of earth science udom

Kama wewe mwanafunzi mlengwa unashindwa ku-google kweli.....ah ha acha uvivu bana.
Nimegungua wanafunzi mmekuwa wavivu sana haswa kwenye kujua vitu vinavyo husu elimu,Mimi baada ya kumaliza form Six,nilidowloads prospectus ya kila Chuo ambacho natamani kwenda kusoma na vile ambavyo viko kwenye Mkoa wangu nilikuwa naenda physically kwenda kuangalia mazingira Kama yatanifaa kusoma na kunipa other opportunities.
Chuo sio kusoma tu,ni pamoja na kuangalia fursa.
 
Ndugu yangu kama umechaguliwa pale hongera sana lakini ile ni college ya kibabe kwa Tanzania nzima kasome siyo kucheza mwakani kama Leo utaikumbuka msg hii
 
Ndio. College of Earth Sciences COES.

Kuna schools mbili, Petroleum na nyingine Mining, hafu total kuna course za bachelor kama 6 na diploma kadhaa.

Pakua Prospectus dogo.
Hivi kumbe ipo college of *earth* nlkua sijui
 
mkuu, college of earth science (COES) ndo college yenye idadi ndogo zaidi kati ya colleges za udom.. inaundwa na schools mbili ambazo ni;
1 SCHOOL OF MINING AND PETROLEUM ENGINEERING
School hii inaoffer degree program zifuatazo
.a diploma in geoscience and mineral exploration.
.b diploma in mining engeneering
.c B.sc in petroleum engeering
.d B.sc in mining engeneering
.e B.sc in metallugy and mineral procesing engeneering
.f B.sc in renewable energy engeneering
.g B.sc in applied geology
.h B.sc in geoinformatics
2 SCHOOL OF ENVIRONMENT SCIENCE AND TECHNOLOGY
Hii inatoa course 2 ambazo ni
.a bsc in enviromental science and
.b bsc in enviromental engeneering
 
Hivi diploma zake ni 2yrs au 3yrs
 
Back
Top Bottom