ukweli mtupu. hata hapa bongo, kwetu sisi wanasheria, wale wanasheria waliokuwa wanashika mkia pale udsm ndio wenye firm kubwa na wenye hela kuliko wale waliobakishwa pale udsm wafundishe baada ya kuongoza darasani. academicians ndio masikini kuliko watu wengine ambao wanaonekana walifeli...(NB: sisemi hivi kwasababu mimi sikubakishwa udsm niwe lecturer, ni ukweli mtupu).