Dhamana yako katika mapenzi ni nini? I mean kipi kinachokufanya uendelee kupata hilo penzi unalolipata. Je ni fedha, Mali ulizonazo, elimu au just mapenzi.
Au umeweka Collateral Moyo kwamba kama ukiachwa basi na thamani yako ya kuishi haipo tena?????????????????