Kwahiyo kionjo ni cha Kel P, sio Burna Boy? Jeje na Odogwu, zote zimetengenezwa na Kel P, unajuaje kama sio idea ya Kel P Diamond kutumia hicho kionjo?
Sina haja ya kufanya fact check.
Hakuna mnaija anaeiga chochote kwenye bongo fleva labda iwe kolabo.
So ukiona kionjo kipo bongo fleva na naija ujue kimetoka naija.