Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Wakuu heshima iwe kwenu.
Ninahitaji pesa za sarafu(coins) za Tanzania. Iwe shs 20,na shs1 ziwe kuanzia mwaka 1966 hadi 1980,zinahitajika kama 100coins.
Mwenye nazo njoo PM haraka.
Mzigo unahitajika Arusha.
Asanteni!
Kwanza hii biashara yako unalipa na kodi?Wakuu heshima iwe kwenu.
Ninahitaji pesa za sarafu(coins) za Tanzania. Iwe shs 20,na shs1 ziwe kuanzia mwaka 1966 hadi 1980,zinahitajika kama 100coins.
Mwenye nazo njoo PM haraka.
Mzigo unahitajika Arusha.
Asanteni!
Wewe jamaa unajua sana maana nilikuwa nafahamu mchezo unavyoenda ila nashangaa kama Taperi anaruhusiwa kutoa TANGAZO humu.Atakuambia anahitaj hzo coin 100 kwa sh. Let say 500 utamuuzia, jumla 50,000 kwa coins zote. Then kesho atakuambia kuna mtu mwingine anataka hzo coins kwa 2000 na zinahtajika coins 1000, so atakuambia umtafute na mwenzako kwan coins zonajtajika nyingi.. Na atakuunganisha kwa rafiki yake mwingine.. Huyo rafiki atakukuconvice kwamba. Mumrudie jamaa ili awauzie tena hzo coins1000 ili mkapige hzo 2000 kwa coins. Yy atawauzia tena kwa 1500 so (1000*1500=1,500,000). Mkisha nunua hamtampata tena huyo mtu anayezitaka kwa 2000 so inakuwa imekula kipande chako. So anakua amemake faida ya 1,450,000.
Kodi inalipwa,Sema jingine!Kwanza hii biashara yako unalipa na kodi?
Unaweza tuma picha kwa WhatsApp, kisha tukikubaliana ndio unaleta mzigo!Ni lazima kuleta huko Arusha?
Umetapeliwa nn? Una kitu cha mm kuweza kukutapeli?Hii biashara ya kitapeli bado ipo?
Wewe mjanja baki na ujanja wako!Wajinga ndo waliwao