papag
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 1,361
- 2,049
Never confuse equals and approximation.Hivi kumbe tunaotumia speed ya light 3×10⁸m/s huwa tunapoteza mda tu!
Iliyokadiriwa inarahisisha mahesabu.Kweli kweli.
Nilichomaanisha ni kwanini tunatumiwa iliyokadiriwa wakati ipo exact value.
Iliyokadiriwa inarahisisha mahesabu.
"رمضان كريم وصوم مقبول"
Unajua namba ikiwa na nukta na nambari nyingi mbeleni huwa inaleta kero kwenye kufanya mahesabu mfano 32.543643 x 20haha...sawa