Mwafricani
Member
- Nov 26, 2014
- 31
- 18
Wakubwaa habari za majukumu...
Tuwekane sawaa kwenye hili cognitive report ni kitu gani na nini ? Kuna shirika linataka Cognitive report ili procedure za kuaajili ziendeee:
Je kwa tanzania kuna hizi mambo?? Kama zipo zinafanyikajee??
Nimeuliza nipate elewa na kujifunza in General on this please wadau