Sidhani kuwa unafanya maksudi kupotosha; ni wazi huelewi ninacho sisitiza hapa. Upofu wa kujipatia fursa binafsi ndilo tatizo.Hakuna binadamu anayeishi kama kisiwa. Muingereza aliyetutawala kamuajiri DP World kwenye sekta ya bandari.
Marekani kuna wahindi wengi tu kwenye sekta ya mawasiliano wenyewe wanaita outsourcing, ndio dunia ilivyo. Ile ya kujifungia mwenyewe ndani imeshapitwa na wakati.
Hamza yupo serikalini kuanzia mwaka 2014, mamlaka ya anga alianzia kama mwanasheria anayetetea haki za wasafiri akateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu na sasa mwanasheria mkuu wa serikali.
'Of course', watu wenye tabia za kinafiki mambo yao huwaendea vizuri wakati uongozi unapokuwa ni mbovu; wa kupenda kusifiwa hovyo hovyo na kujipendekeza; badala ya uwezo stahiki. Wewe hapo unaona ajabu kwa huyo Hamza kuwa kama alivyo?Hamza yupo serikalini kuanzia mwaka 2014, mamlaka ya anga alianzia kama mwanasheria anayetetea haki za wasafiri akateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu na sasa mwanasheria mkuu wa serikali.
Angalia sasa unavyo jiaibisha. Sasa hapo unadhani Kagame atamsifia Samia kwa kuweza kuendesha bandari?SSH anafanyia kazi kwa vitendo yale maneno ya kebehi aliyoyasema Kagame kipindi kile cha JK, kwamba anao uwezo wa kuiendesha Tanzania kupitia bandari ya Dar peke yake.
Magufuli alikuwa na mawazo ya aina hii ya kwako akaishia kutukanwa na kusimangwa kuna watu walimuita mshamba kwa kukata kuwa na ukaribu na mataifa makubwa ya dunia hii.Sidhani kuwa unafanya maksudi kupotosha; ni wazi huelewi ninacho sisitiza hapa. Upofu wa kujipatia fursa binafsi ndilo tatizo.
Ni wapi ulipo soma nimeandika kuwa Tanzania ijitenge kuwa kisiwa; haya wewe unayatoa wapi?
Kuna nchi gani imejitenga kuwa kisiwa katika dunia ya leo? Hata Korea Kaslkazini inawabidi washirikiane na China na sasa Urusi; lakini wewe kwa sababu zako unazo juwa mwenyewe, unanisakazia kuwa nagombea Tanzania ijitoe duniani, iwe kisiwa?
Hizo nchi zote zinazo sisitiza kufaidika wao katika ushirikiano na mataifa mengine wewe huzioni? Kwa nini nyinyi, wewe, Samia na genge lenu mnalazimisha Tanzania liwe shimo la takataka za dunia, mradi nyinyi mnufaike!
China wamefungua nchi; lakini hawakuwauza wachina wawe manamba; wewe hili hulijui? Hali ni hiyo hiyo na nchi zote; hata hiyo Marekani unayo kimbilia kuitolea mfano. Umemwona MMarekani akigeuzwa kuwa mtwana humo nchini mwao?
Mnatengeneza mazingira ya kupafanya Tanzania kuwa sehemu ya uchafu, wanakokwenda wajomba zenu, kama wanavyo fanya kwenye baadhi ya nchi kama Indonesia.
Hakuna rais wa serikali ya CCM mwenye kuweza kuongozwa na hisia zake binafsi kwa asilimia 100, yapo, mengi ataendeleza yale ya mtangulizi wake.'Of course', watu wenye tabia za kinafiki mambo yao huwaendea vizuri wakati uongozi unapokuwa ni mbovu; wa kupenda kusifiwa hovyo hovyo na kujipendekeza; badala ya uwezo stahiki. Wewe hapo unaona ajabu kwa huyo Hamza kuwa kama alivyo?
Mtu huyo huyo, anamsifia Magufuli, kwamba ni mzalendo. Magufuli akiondoka na kuingia Samia na kufanya mambo kinyume kabisa na Magufuli katika baadhi ya mambo ya msingi, Samia anakuwa ndiye kiongozi bora. Utategemea nini kwa mtu kama huyo!
Vyeo vya kupewa, kwa vile umeandika jambo kumjibu Fatma Karume, hilo nalo ni jambo la kusifia kweli?
Doh...nimecheka kwanguvu mkuuskari mmoja akamuambia Mirambo "Mkuu binti huyu haoa uoe" Mirambo akasema "Siwezi kuoa mbwa" , "Mchukue kaoe mwenyewe
Mpuuzi wewe usiyetaka kuelewa kwamba biashara nzima ya DPW na serikali chanzo ni huko DRC ambapo Rais Tshisekedi alisaini na boss wa DPW mwaka 2017.Angalia sasa unavyo jiaibisha. Sasa hapo unadhani Kagame atamsifia Samia kwa kuweza kuendesha bandari?
Sana sana huyo huyo Kagame atakuwa anawaona akili haziwatoshi. Mtashindwa vipi kuendesha bandari miaka nenda miaka rudi? Ni jambo gani sasa mtakalo weza kuliendesha wenyewe?
Narudia yale yale kukueleza, lakini akili yako imeganda kweli kweli kwa sababu unafaidika na uchafu unao nyonya toka kwa Samia.
Na huyo Samia akiwa mmoja wao wa hao waliokuwa wakimwita "mshamba"! Sasa hapo sijui kama unayaona maajabu hayo, au siyo? Na wewe ulimwita nani vile? Angalia sasa mnayo fanya; mafisadi wakubwa nyinyi hata chembe ya aibu hamna!Magufuli alikuwa na mawazo ya aina hii ya kwako akaishia kutukanwa na kusimangwa kuna watu walimuita mshamba kwa kukata kuwa na ukaribu na mataifa makubwa ya dunia hii.
Hata ulazimishe mara ngapi kugeuza ninayo eleza kwa kujifanya huelewi haitakusaidia kitu. Uwekezaji wa Samia ni uvamizi wa mali za waTanzania; ni kuwafanya waTanzania kuwa watwana ndani ya nchi yao, ni uwekezaji wa kuifanya Tanzania kuwa tegemezi milele. Huo siyo uwekezaji ni zaidi ya uporaji. Ni kuua moyo wa taifa hili.Wewe huoni umuhimu wa uwekezaji, mamilioni ya vijana ambao muda huu wanapata ajira kwenye viwanda vinavyofunguliwa wakikusoma haya mawazo yako watakucheka na kuachana na fikra zako mazima.
Haya uliyo andika hapa yalikuwa sahihi kabla ya Samia hajaenda kujificha kule kwa wajomba zake kwa wiki kadhaa akipanga njia za kulihujumu taifa hili.Hakuna rais wa serikali ya CCM mwenye kuweza kuongozwa na hisia zake binafsi kwa asilimia 100, yapo, mengi ataendeleza yale ya mtangulizi wake.
Ilani ni ile ile na waandishi wake ni wale wale. Samia ndio Rais wetu wewe endelea tu kuishi na machungu moyoni mwako, umechagua kuishi hivyo na hakuna wa kukuingilia akilini mwako.
Sasa hivi ninamfahamu Hamza vizuri zaidi kadri unavyo zidi kumwelezea humu. Huyo ni uthibitisho sahihi wa tabia na desturi mnazo zionyesha humu nyote; akina Samia, Tlaatlaah; EeenHeee, na wewe mwenyewe; na wengi wengine nisio hitaji kuwataja.Hamza ni kichwa sana, huwezi kukubaliwa na marais zaidi ya wawili halafu kichwani mwako ukawa ni mtu tu wa kawaida.
Fisiemu ukada kwanza uwezo,taaluma baadaye.Kazi mnayo mlimpaje mkimbiza mafaili kwenye maofisi ,urais au umakamo
EEEEEeeeenHEEEEEee!Mkapa alisikitika siku alipokutana na Hamza wakari keshaondoka madarakani, akasema angetamani katika urais wake angefanya kazi na kijana kama Hamza.
Kikwete aliidhinisha apewe cheo kikubwa serikalini lakini Wasaidizi wa Mwakyembe pale wizara ya mawasiliano wakaficha barua aliyoagiza apewe cheo kikubwa, ndani ya makabati wakidhani wanamkomoa kumbe wanampiga chura teke na kumuongezea mwendo.
Hayati JPM alipomsikia katika mkutano mmoja wa serikali akaagiza apewe cheo cha ukurugenzi wa TCAA.
Wacha upumbavu wako. Zungumzia Tanzania hapa na jinsi mnavyo inajisi nchi hii. Hayo ya huko Kongo waachie wakongo wenyewe.Mpuuzi wewe usiyetaka kuelewa kwamba biashara nzima ya DPW na serikali chanzo ni huko DRC ambapo Rais Tshisekedi alisaini na boss wa DPW mwaka 2017.
Biashara nzima ya DPW na Tanzania ni inaanzia kule DRC inakuja Rwanda halafu inakuja Tanzania. Kagame anafahamu kuwa bandari ya Dar inapoendeshwa kisasa hata wao wanafaidika kiuchumi.
Mkuu Kalamu hii ni dunia isiyo na huruma na isiyosubiri mimi na wewe tuamke tupate akili ili tuweze kwenda sambamba na ushindani uliopo.Na huyo Samia akiwa mmoja wao wa hao waliokuwa wakimwita "mshamba"! Sasa hapo sijui kama unayaona maajabu hayo, au siyo? Na wewe ulimwita nani vile? Angalia sasa mnayo fanya; mafisadi wakubwa nyinyi hata chembe ya aibu hamna!
Hata ulazimishe mara ngapi kugeuza ninayo eleza kwa kujifanya huelewi haitakusaidia kitu. Uwekezaji wa Samia ni uvamizi wa mali za waTanzania; ni kuwafanya waTanzania kuwa watwana ndani ya nchi yao, ni uwekezaji wa kuifanya Tanzania kuwa tegemezi milele. Huo siyo uwekezaji ni zaidi ya uporaji. Ni kuua moyo wa taifa hili.
Ndiyo sababu Samia anastahili kuwekwa mbele za sheria kujibu mashataka ya uhaini juu ya taifa alilopewa jukumu la kuliongoza.
Samia alikuta Tanzania ina ndege 11 za abiria katika kipindi cha miaka mitatu kanunua ndege tano, moja ya mizigo na nne za abiria.Haya uliyo andika hapa yalikuwa sahihi kabla ya Samia hajaenda kujificha kule kwa wajomba zake kwa wiki kadhaa akipanga njia za kulihujumu taifa hili.
Wiki ya kwanza tu baada ya kushika madaraka, akadakwa na 'genge' lililomharibu akili kabisa. Hii ni kwa sababu ya upungufu wake wa kuwa na msimamo na mawazo anayo yasimamia mwenyewe. Ile 'Royal Tour' unaikumbuka?
Hakuna Rais yeyote wa CCM aliye anza kwa ujinga wa aina ile. Ile haikuwa utekelezaji wa Ilani kama unavyo eleza wewe hapa Bila shaka utaeleza pia kwamba ni uendelezaji wa Ilani ya CCM kuua muungano kama anavyo fanya Samia tokea aingie serikalini! Mbali ya Kikwete, sijapata kumwona rais mwingine aliye fanya juhudi hiyo zaidi ya Samia..
Sasa hivi ninamfahamu Hamza vizuri zaidi kadri unavyo zidi kumwelezea humu. Huyo ni uthibitisho sahihi wa tabia na desturi mnazo zionyesha humu nyote; akina Samia, Tlaatlaah; EeenHeee, na wewe mwenyewe; na wengi wengine nisio hitaji kuwataja.
Ni mila hatari za mtu kucheka/tabasamu huku akiwa na mzigo mzito moyoni mwake. Ukijisahau kidogo tu, anakumaliza.
Hivyo ndivyo mlivyo.
Mpumbavu ni wewe usiyeweza kukubali ukweli kwamba Biashara ya bandari ni muendelezo wa Logistic supply chain kwa maana ya biashara inayoanzia DRC ikaishia hapa Tanzania.Wacha upumbavu wako. Zungumzia Tanzania hapa na jinsi mnavyo inajisi nchi hii. Hayo ya huko Kongo waachie wakongo wenyewe.
Kwa hiyo unataka kuhamishia yanayo wasumbua wakongo yaje pia hapa Tanzania?
Na hata huoni aibu kusema uongo: Tshisekedi atasaini mkataba 2017 vipi na hao DPW?
Mstari huu upo sahihi kabisa, ndiyo maana nakataa ujinga anao fanya Samia. Hao anaowagawia mali zetu hawaji hapa kutufanyia fadhira; wanakuja hapa kuneemeka juu ya migongo ya waTanzania. Hawapo hapa kuwasaidia waTanzania kwa chochote. Ndiyo maana namwona Samia kuwa kiongozi wa hovyo, kwa sababu hajui anacho fanya.Mkuu Kalamu hii ni dunia isiyo na huruma na isiyosubiri mimi na wewe tuamke tupate akili ili tuweze kwenda sambamba na ushindani uliopo.
Kuendekeza majungu vipi, kwani siyo kweli?Kusema Samia alidakwa ndani ya wiki ya kwanza, ni kuendekeza majungu na stori za vijiweni. Hakuna aliyemdaka.
Upumbavu ulio nao ni kwamba unashikilia jmambo tofauti kabisa na unayo ambiwa.Mpumbavu ni wewe usiyeweza kukubali ukweli kwamba Biashara ya bandari ni muendelezo wa Logistic supply chain kwa maana ya biashara inayoanzia DRC ikaishia hapa Tanzania.
Mpumbavu ni wewe ambaye pengine hufahamu kuwa Tshisekedi baada tu ya kuapa kuwa rais wa DRC alifanya ziara rasmi hapa nchini na akatembelea bandari ya Dar mahali ambapo DPW alikuja kufanya uwekezaji wake.
Hii ni biashara kubwa yenye kuhusisha mataifa matatu, nenda kawaambie hao waliokutuma kwamba mipango yao kupitia wewe wakala wao ilishashindwa kitambo tu.