Labda ni kutaka kujaribu ubeberu wa China. India nayo inakuwa kwa kasi na kwa idadi ya watu imeshaipita China.Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.
Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.
Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?
Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?
Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina
Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.
Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.
Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Hayo ya 'mwanamke' unayaleta wewe, kwa sababu zako uzijuazo.Anaweza kuwa rais mwenye mafanikio kuliko watano waliomtangulia, ukimchambua kwa haki lakini bila ya kwanza kumletea dharau za yeye kuwa mwanamke.
Samia anayo misingi ya marais watano waliomtangulia, anapita humo humo kwa akili iliyotulia.
Code zinaongea mkuu 😆😆😆Kama ni mnamaanisha wale Vijana 2 watukutu si mseme tu. Msiongee kwa codes
Kila mwenye pumzi juu ya uso wa dunia ni mpita njia. Temporary home ni jina la wimbo wa Carrie Underwood, tupo hapa kwa muda mfupi tu.Hayo ya 'mwanamke' unayaleta wewe, kwa sababu zako uzijuazo.
Mimi namwangalia Samia kwa yumbayumba yake toka ashike madaraka. Hiyo yumba yumba haionyeshi kiongozi anayejuwa anacho kifanya.
Mbaya zaidi, hana uwezo wa kueleza chochote anacho kiamini yeye.
Ishara muhimu ya kuonyesha hana misingi ni teuzi za kila wiki anazozifanya tokea aingie madarakani.
Ukisema Samia kau imarisha muungano kuliko au kuwashinda watangulizi wake, wewe utakuwa na sababu za kipekee sana kumhusu kiongozi huyu.
Ukisema Samia ni kiongozi anaye hangaishwa na hali duni za wananchi wa kawaida huko waliko, wewe utakuwa unazo sababu zako tofauti na za hao wanao hangaikia maisha yao huko vijijini.
Na nadhani baya zaidi linalomhusu Samia na uongozi wake ni kuwadharau raia anao waongoza. Kudhani kwamba hawa watu hawawezi kuleta maendeleo yao kwa juhudi zao. Yeye anacho fikiri wakati wote ni watu toka nje kuja kuleta maendeleo hapa.
Kiongozi anaua moyo wa uthubutu wa watu wake; nchi ya namna hiyo haiwezi hata miaka mia tano kuwa na maendeleo. Inazalisha watwana tu.
Samia ni mpita njia tu; ila kwa bahati mbaya sana, mpita njia ambaye atasababisha madhara makubwa kwa taifa hili kabla hajamaliza safari yake.
The sooner she is out of the way, the better for the nation.
Mpikie mume wako dada acha kuchonga ngenga sana unaongea kama umekatwa kichwa au unataka TEUZIHuijuwi historia yako wewe.
Wewe babu zako waliletwa kutumwa Mashariki ya Afrika, hii ardhi yote kabla ya kuja Mjerumani ilikuwa ni Zanzibar.
Humu tuHivi ni mlemle ama mulemule?
Kiswahili kinataka kunipiga shenga ya mwili.
Unajuwa wazi sikuwa na maana hiyo, sasa sijui hayo unayatoa wapi.Kila mwenye pumzi juu ya uso wa dunia ni mpita njia. Temporary home ni jina la wimbo wa Carrie Underwood, tupo hapa kwa muda mfupi tu.
Atakuwaje na "mbwembwe na vishindo" wakati uwezo wa kuongoza hana!Samia hana vishindo vya mbwembwe za wanasiasa kina JPM aliyetaka apigiwe makofi kwa kila alichoweza kufanya. Samia hana hiyo nguvu ya kutafuta sifa yeye mwenyewe. Pia hana makuu ana unyenyekevu hivyo hata akifanya kitu kikubwa sana ni vigumu kufahamu sisi watu wa kawaida.
Tumuuliza Chura kiziwi amejipangaje? Nasikia ni YEYE kama To yeye hadi 2035Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.
Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.
Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?
Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?
Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina
Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.
Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.
Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Dear ujambo?Unataka nitetee mlioishiwa? .
🤣🤣🤣Nimeingiaje hapo
Akili ndogo tu...Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.
Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.
Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?
Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?
Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina
Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.
Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.
Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Mafanikio yasiyo na tija kwa wananchi ni upuuzi mtupu, Hali ya uchumi wa nchi ni ngumu sana kwa sasa, mafanikio pekee aliyonayo ni kukwapua mali zetu na kuwapa waarabu, kidogo na nyie vibaka mnapata pa kupitia.Anaweza kuwa rais mwenye mafanikio kuliko watano waliomtangulia, ukimchambua kwa haki lakini bila ya kwanza kumletea dharau za yeye kuwa mwanamke.
Samia anayo misingi ya marais watano waliomtangulia, anapita humo humo kwa akili iliyotulia.
Unajuwa wazi sikuwa na maana hiyo, sasa sijui hayo unayatoa wapi.
Atakuwaje na "mbwembwe na vishindo" wakati uwezo wa kuongoza hana!
Unyenyekevu wa kuwaambia raia zake kutekwa, kuuawa ni "Drama"?
Kitu gani kikubwa kafanya na ikawa vigumu watu kufahamu? Wewe mwenyewe ulieleza humu JF kuwa baada ya sakata la bandari, kila kitu sasa itakuwa siri; na yeye kujitangaza kuwa 'Chura Kiziwi"; hizi ndiyo sifa za kiongozi? Mnaficha uchafu wenu ili watu wasijue kinachofanyika; huo ndio utawala bora?
Kiongozi aliye jaa hadaa na uongo kwa kila jambo, siyo wa kuaminika.
Uwezo wa kuongoza wanaujua hao anaowaongoza ambao idadi yao ni milioni 64, haongozi nyumba kumi sio mwenyekiti wa serikali ya mtaa ni Rais wa Nchi nzima.Unajuwa wazi sikuwa na maana hiyo, sasa sijui hayo unayatoa wapi.
Atakuwaje na "mbwembwe na vishindo" wakati uwezo wa kuongoza hana!
Unyenyekevu wa kuwaambia raia zake kutekwa, kuuawa ni "Drama"?
Kitu gani kikubwa kafanya na ikawa vigumu watu kufahamu? Wewe mwenyewe ulieleza humu JF kuwa baada ya sakata la bandari, kila kitu sasa itakuwa siri; na yeye kujitangaza kuwa 'Chura Kiziwi"; hizi ndiyo sifa za kiongozi? Mnaficha uchafu wenu ili watu wasijue kinachofanyika; huo ndio utawala bora?
Kiongozi aliye jaa hadaa na uongo kwa kila jambo, siyo wa kuaminika.
Na ni hao ndio wanaosema "hana uwezo wa kuaongoza"; lakini badala ya kuwaruhusu wamwonyeshe kuwa hana uwezo, badala yake kila njia zinatumika kulazimisha yeye kuendelea kuwepo kwenye uongozi bila ya ridhaa yao.Uwezo wa kuongoza wanaujua hao anaowaongoza ambao idadi yao ni milioni 64, haongozi nyumba kumi sio mwenyekiti wa serikali ya mtaa ni Rais wa Nchi nzima.
Nimekwisha kueleza mara kadhaa sasa kuhusu hili: hicho "kipande cha mkate" kina manufaa gani kama uhai wenyewe upo mashakani?Kila kilichoachwa na Marehemu JPM anakimalizia muda huu, hakuna mradi aliyouacha hayati katika awamu ya tano usiokuja kumaliziwa ndani ya kipindi hiki cha awamu ya sita. Sio jukumu lake kutuwekea mkate na siagi mezani asubuhi kwa ajili ya kifungua kinywa anafanya masuala ya kisera zaidi na anayatekeleza ipasavyo
Ni kama umezaliwa jana, kwamba hukumbuki haya maswala ya kilimo yanako tokea? Au unadhani watu wote hawajui/hawafuatilii yanayotokea hapa nchini miaka yote?Kuna mapinduzi ya kilimo yanaendelea muda huu katika mikoa inayozalisha chakula kwa wingi.