Cod muhimu kwa watumiaji wa Samsung galaxy

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
(1)*#0*# bofya alama hizi ili ku-test
Ubora wa lcd,touch,vobration,
n.k.
(2)*#12580*369# bofya ili kujua
H.S
(3)*#0228# bofya ili kujua betri

(4)*#1234# bofya ujue S.V ya simu yako
Na pia inaweza kukusaidia kujua na kutofautisha simu fake vile vile.......asanteni
 
clone za siku hizi unafikiri zinatambulika kirahisi namna hiyo?!
 
Fake utaijua tu kaka kama ni mzoefu
 
Sure, KAMA NI MZOEFU! Lakini kama si mzoefu hizo code hapo juu zitakuingiza chaka!

Inawezekana mkuu sababu mimi sijaijaribu clone.....ila clone mimi naijua tu kwa macho maana internal memory yake huwa na ukubwa mzuri,ram ya kawaida ila camera utaijua tu ma hata baadhi ya feature maalum huwa hazipo kwa galaxy kama za S4......
 
Kuna s4 moja walitaka kuniingiza chaka nikawashtukia kwenye betri tu hapo..ila hizo nyingine zoote zilitiki ..
Nikasepa fasta.
 
Kuna s4 moja walitaka kuniingiza chaka nikawashtukia kwenye betri tu hapo..ila hizo nyingine zoote zilitiki ..
Nikasepa fasta.

Kumbe kuna baadhi zinatiki nyingine zinagoma mi nimejaribu kwenye hii original zina kubali......tuwe makini tu
 
Ni rahisi kugundua clone ya samsung, kwanza u click icone ya samsung app hairespond iki respond inakupeleka google play.

Pili features kama air gestures n,k kwenye settings uki click hazirespond.

Hata kwa macho tu utaijua kama we mzoefu.

Halafu internal memory yake ipo tu kama mapambo in reality ni 899mb ukitaka kuhakikisha jaribu kuweka file hata la 1gb haliingii.

Ukiona yanakuzngua run cpu-z
 

Sure mkuu hata mimi clone hainisumbui hata kidogo hiyo michina mingine ndio kabisaa cha wasiojua haya warw makoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…