Kumbe FREEMASONS inalipa eeeh!
Tulipumzika kidogo stori za huyu jamaa humu kutokana na story za bifu ya Jide vs Clouds na kifo cha Ngwea,naona kero inaanza kurudi
Si ndio nimejua leo mkuu?wewe unasubiri nini kama unajua inalipa?
heee!kumbe kuna karani humu?Hivi huyu karani wa Diamond hapa JF heaven on desert ajira imeota mbawa? yeye ndio alipaswa kutuletea khabari hii.
aaaahhh!!nimejisemea tu
hivi huyu kijana ni yule ambae juzi kati mlituambia kwene a/c yake ana more than 1b?. ! leo kanunuliwa!!!!!
haya endelea kujisemea tuu
Diamond aka sukari ya warembo....he deserves for sure!