Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 May 5, 2011 #1 Kunywa but ukiwa unajua madhara yake pia Attachments COCACOLA.ppt COCACOLA.ppt 216.5 KB · Views: 104
M muraweto Member Joined May 3, 2011 Posts 19 Reaction score 1 May 5, 2011 #2 chukua soda moja ya coka au pepsi halafu mimina kwenye sinki au choo kilichoweka sugu halafu baada ya dakika tano kasugue utaona matokeo yake na hivyo ndivyo inavyofanya mwilini!!!!!
chukua soda moja ya coka au pepsi halafu mimina kwenye sinki au choo kilichoweka sugu halafu baada ya dakika tano kasugue utaona matokeo yake na hivyo ndivyo inavyofanya mwilini!!!!!
L Laura Mkaju Senior Member Joined Jan 31, 2011 Posts 194 Reaction score 42 May 5, 2011 #3 Lol! kuanzia leo naacha kunywa soda, kumbe nimeshaharika hivi???
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 May 5, 2011 #4 habari ndo hiyo watu tunafakamia mavitu bila kujua madhara yake