Cocacola jitazameni wapi mmeanguka

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
34,962
70,472
Zamani ukinywa Coca yaani unahisi utamu na ulimi unachomachoma hadi raha, sasa hivi micoca yenu zero inanichefua balaa, imepoaa, haina hekaheka ulimini! Imepoa kama Pepsi yaani ni kama ufananishe kuku wa kienyeji na wa kizungu (kila mtu atafsiri awezavyo). Coca ya sasa hivi haina utamu wala ladha mnatukera wapenzi wa Coca, turudishieni ile ladha ya zamani.

Pia na ile Sparletta mpya ina ladha mbaya kAMA mkojo wa punda, komeni kubadilisha vitu bila kuishirikisha jamii!

La mwisho kwa wenye bar, hivi inakuwaje mchana wa saa7 unaagiza kinywaji unaletewa cha moto? Unaletaje bia ya moto kwa mteja? Serikali itutenge na nyie mnatutenga? Binafsi nimeudhika sana nimeghafirika sana! Yaone kwanza!
 
Mi mwenyewe coca wananiboa sana siku hizi sijui kampuni inaendeshwa na waliokua watengeneza jussicola! Sijui yanawaza nini kuforce kila mtu anywe masoda yao wenye visukali, soda ina radha kama yale majuice ya pakiti moja unachanganya na lita 2 za maji.. Sijui hua wanafanya research kwa wateja wao kabla ya kuja na bidhaa mpya maana sidhani kama kuna mteja wao anayapenda haya majuisi yao.. Soda yangu ilikuwa coca cola au sparleta nyeupe.. Kwa fikra za kibangebange na maamuzi ya viroba wakaiondoa sparleta nyeupe sokoni, niliumia sana ila nikasema sio kesi ngoja nikomae na coca sasa siku za hivi karibuni naona nalazimishwa kunywa coca ziro.. Kwa masikitiko makubwa nmeacha kunywa soda maana Pepsi nao soda zao zimekaa kikulima sana
 
Umnikumbusha yake majuice..mtu una kiu kikali then unapewa coca mdebwedo
 
Mnakunywa Coke Classic au Coke Zero [ambayo ndo diet Coke]?

Isije kuwa hamsomi vizuri chupa halafu mnanunia Diet Coke mkidhani ndo Coke classic.

Sasa huku busulwangili wanajua ukisema nipe coce classic?mm mwenyewe umenichanganya...mie najia sasa hivi coce zote ni zero
 
Coke classic ndo ipi bro?

FB6C48EF-A8B3-4B6A-AC17-FA1256640E90.jpeg
 
Mnakunywa Coke Classic au Coke Zero [ambayo ndo diet Coke]?

Isije kuwa hamsomi vizuri chupa halafu mnanunia Diet Coke mkidhani ndo Coke classic.
Zote zinajulikana ila hawa maafisa masoko wanachokifanya wakati wanasambaza wanasambaza hizo mpya ambazo Mr. Ebo r.i.p aliimba chungu kama ngiloriti hivyo madukani unakutana na hizo tuu mbaya zaidi hata maji yao ya darasani yanauzwa kwa lazima
 
Zamani ukinywa Coca yaani unahisi utamu na ulimi unachomachoma hadi raha, sasa hivi micoca yenu zero inanichefua balaa, imepoaa, haina hekaheka ulimini! Imepoa kama Pepsi yaani ni kama ufananishe kuku wa kienyeji na wa kizungu (kila mtu atafsiri awezavyo). Coca ya sasa hivi haina utamu wala ladha mnatukera wapenzi wa Coca, turudishieni ile ladha ya zamani.

Pia na ile Sparletta mpya ina ladha mbaya kAMA mkojo wa punda, komeni kubadilisha vitu bila kuishirikisha jamii!

La mwisho kwa wenye bar, hivi inakuwaje mchana wa saa7 unaagiza kinywaji unaletewa cha moto? Unaletaje bia ya moto kwa mteja? Serikali itutenge na nyie mnatutenga? Binafsi nimeudhika sana nimeghafirika sana! Yaone kwanza!
daah duniani kweli tumetofautina! hivi inakuwaje kuwaje mtu unaagiza soda? yaani mimi ninunue soda wakati soda mwereka zipo! daah nawahurumia sana mnaokunywa soda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani unazengua..!..huku soda zote ni coce zero! Hakuna classic wala nini!...mtu unaham na ile ladha unaishia kutapeliwa tu

Hmm....inashangaza.

Kwa nini wauze Coke Zero tu? Tena kwenye soko ambalo halijali sana mambo ya calories?

Hata hivyo, Coca-Cola zote hazifanani.

Mfano, Coke Classic inayouzwa Mexico huwa ina ladha tofauti na Coke Classic inayouzwa Marekani na kwingineko.

Hata Coke original inayouzwa McDonald’s huwa ina ladha tofauti na Coke zingine ziuzwazo kwenye migahawa mingine.
 
Basi Africa ni laana!
 
Back
Top Bottom