Coca cola na pepsi cola

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
Utafiti wangu wa kienjeji umegundua cocacola ina gesi nyingi kuliko pepsi cola.
 
Hapo pepsi imekaa kwenye freezer zaidi ya wiki tatu, cocacola imekaa siku mbili tu.
 
Ungefananisha zote. Kama ni Pepsi diet, na Diet Coke. Tugeweza elewa

don't care for those who ignore you,care for those who are ignoring others for you[\color].

 
Umemaliza??
(Natamani tuwe tunalipia kila tukianzisha uzi hum)

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Watu si ndio wanapenda kunywa yenye gesi nyingi..nadhan hapo ndio tofauti kat ya soda na juisi
 
Nimeweka mkataba na kampuni ya coca cola
Napenda kunywa coca cola ile pure kwa siku nakunywa mara 2.

Coca cola mmetisha aisee.
 
Umemaliza??
(Natamani tuwe tunalipia kila tukianzisha uzi hum)

Post sent using JamiiForums mobile app

Wewee kina Galileo waligundua vitu kwa kuangalia embe ikidondoka kutoka kwenye mti. Wewe unajua kwanini haiendi juu inadondoka chini?
 
Umedhiria kuharibu biashara za watu MKUU

Post sent using JamiiForums mobile app
 
zote hizo zina gesi aina moja hata hivyo.kuja na uchunguzi au utafiti zaid kuhusu madhara au kiwango gani cha gesi kikiingia mwilini,kitakuwa na madhara kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…