Coca cola kwanza kuweni serious


TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
155
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 155 160
Nimesoma tangazo la kazi la cocacola kwanza guardina ya leo 4 march 2010; it is one of the worst adverts i have ever seen.

Tangazo linasema Career opportunity as TCCMS coordinator, this person reports to SHEQ Manager

ukija kwenye key responsibilities ni acronyms tupu; na applicants wanatakiwa wapeleke application kwa HR Manager na wametoa address yao, na pia wamesema kwa email unaweza kupeleka kwa ssakala@csabco.co.za with closing date being 15th March, now my question:

  • Hivi Coca wana quality assurance system ya kuondoa huu uoza wa acronyms kwenye public address?
  • Huyu HR person ana inferiority complex?
  • procurement procedures zinasemaje kuhusu length ya kutangaza hzi services?
Sakala, wewe HR manager... get outside your sick shell and understand your dynamics when you address public, upuuzi huu justshow what a manager ulivyo
 
RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Messages
742
Likes
8
Points
35
RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined May 18, 2009
742 8 35
Cocacola kwanza hamna kitu pale sema tu binadamu tushakuwa adicted na soda thts why wanasurvive, hata ukitaka kupatia mtu chakula, bia utasikia twende nkupatie soda mbele hapo!
 

Forum statistics

Threads 1,251,752
Members 481,857
Posts 29,783,896