Coca Cola Kwanza (GIT2015)

Coca Cola Kwanza (GIT2015)

Skyblue

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
196
Reaction score
55
jamani kwayeyote atakajua au pata taarfa za kuitwa katka post ya graduate in training Tanzania anijuze. na pia kama kuna mtu anajua inaga aje zaid anfahamishe ... asanteni ...wadau wa if.
 
hivi hawa jamaa watakua wanalipa kiasi gani... na wanahitaji watu wangapi hasa!?? mwenye taarifa kidogo kuhusu hili
 
Hata Mimi pia nasubiriaaa sijui watatuitaa au ndio wameshapeana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom