Kikosi cha Simba kitakuwa na Juma Kaseja, Said Masoud Chollo, Amir Maftah, Shomari Kapombe, Paschal Ochieng, Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Haruna Moshi, Daniel Akuffor, Felix Sunzu na Harun Chanonga. Benchi atakuwepo William Mweta, Paul Ngalema, Juma Nyosso, Jonas Mkude, Edward Christopher na Uhuru Selemani.