Mabingwa wa ligi daraja la kwanza (sasa ligi kuu) 1988,Coastal Union inshuka dimbani kukwaana Na Mtibwa sugar ya Turiani Morogoro ikiwa ni mechi yake ya nane baada ya kufungwa mchezo mmoja tu na kutoa sare nne na kushinda michezo miwili.Timu ya Coastal Union tunahitaji ushindi leo ili kuwakikisha tunakuwa nafasi za juu baada ya kutopata ushindi mechi tatu zilizopita.Mechi ina tarajiwa kuchezwa leo Katika Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga.