Utaburuzwa na nani bro mbona una akili finyu sana? Yaani unataka kuleta national level competition kwenye kijinafasi cha kureport cnn? Kisa mkenya kapata kicho kibarua cha kujishikiza hapo cnn ndio anawaburuza watanzania zaidi ya million 60?
Upeo wako mdogo sana kwenye kuingiza role ya Taifa, wangechukua bomba la mafuta Uganda kisa English au any bigger economic interests kisa English ndio ningekuona una sound sane Lakini kwa hichi kipost cha cnn unasound kaa mwendawazimu