CMSA: Call for interview

Joined
Aug 4, 2014
Posts
44
Reaction score
15
Habarini wanajamvi...Kuna kazi zilitangazwa tangu mwezi wa 4 au wa 5 mwaka jana 2014 na Capital Markets Securities Authority CMSA kwa kada mbalimbali kama Financial Analysts II..Planning Officers II..Legal Officers II na nyinginezo!
Sasa baada ya kimya cha muda mrefu hawa jamaa wameita usaili na utafanyika Law School of Tanzania nyuma ya mawasiliano towers tarehe 27 mwezi huu mida tofauti tofauti ila kuanzia saa 2 asubuhi!Majina yapo kwenye The Guardian ya leo!!

NAWASILISHA!!
 
Kweli watu walivumilia mno duuuu, yan toka april 2014 tena for interview.
 

asante sana kwa taarifa
 
da yaani watu walikuwa wachache sana waliojitokeza kufanyiwa usaili ila wasimamizi wa hyo intervyuu walisema watatangaza tena na itafanyika kwenye tarehe 10 mwez wa pili
 
hao watu ni wapumbavu sana hauwezi kutangaza nafasi mwezi April 2014 unakuja kuwaita kwa interview February 2015,watakaopata hizo nafasi wajiandae kuanza kazi January 2016.Bahati yao sijui sheria za kazi ningewafungulia mashitaka
 
da yaani watu walikuwa wachache sana waliojitokeza kufanyiwa usaili ila wasimamizi wa hyo intervyuu walisema watatangaza tena na itafanyika kwenye tarehe 10 mwez wa pili

okay,so watatangaza kwa njia gani?watapiga simu?au ndo ile ya gazeti tena the guardian halafu ni siku mbili au tatu kabla ya usaili..maana nakumbuka ile ya kwanza walitoa majina kwenye gazeti siku ya ijumaa halafu j4 ndio usaili hivyo idadi ya applicant kuzoma gazeti ikikupita tu imekula kwako!
 

Walisema watatangaza kwenye gazeti pia watapiga simu kwa kila mmoja au watatuma SMS
 
CMSA invites you for interview 11.2.'15, from 8am law School of Tanzania near SIMU 2000 stand Ubungo. Procurement, Legal, Records & HR. Ref. Guardian 23.1.'15
 
Last edited by a moderator:
CMSA invites you for interview 11.2.'15, from 8am law School of Tanzania near SIMU 2000 stand Ubungo. Procurement, Legal, Records & HR. Ref. Guardian 23.1.'15
 
Last edited by a moderator:
Mie sielewi hii tabia ya makampuni kutoa majina ya walioomba kazi magazetini au mitandaoni kuwaita kwenye interview.

Kwani hawaoni contacts kwenye application au CV za watu kuwasiliana nao kimya kimya. Wanaweza sema wameita angalieni hukoooo.

Mtu labda ana kazi anatafuta ingine bosi anaona jina unadhani akikosa itakuwaje anapofanya kazi, ndio watu wanabaki kulalamika maajabu wanayotendwa bila kujua sababu.

Pia wanaotaguta kazi ni lazima kila mtu ajue katafuta na akikosa wajue ndo maana bado yupo mtaani? Inawasaidia nini waajiri hao. Wabadilike....
 
Mimi Wamentumia email, kuniarika kwenye interview, tar 10.2.2015 kada ya planning officers, wamenieleza pia majina yalitoka kwenye gazeti la the guardian la tar23.1.2015.

Naomba kuuliza wameita wangapi kwenye hiyo interview ya CM&SA KADA YA PLANNING OFFICER ?
PIA MWENYE HILO GAZETI NAOMBA APOST HAYO MAJINA MAANA WENGINE HATUNA ACCESS NA HILO GAZETI HUKU BUSH
 
Naomba kuuliza wameita wangapi kwenye hiyo interview ya CM&SA KADA YA PLANNING OFFICER ?
PIA MWENYE HILO GAZETI NAOMBA APOST HAYO MAJINA MAANA WENGINE HATUNA ACCESS NA HILO GAZETI HUKU BUSH


Naomba ukipata hayo majina utanirushia na mimi au hilo gazeti, mm mwenyewe nmetumiwa email kwa position ya Planning Officer. Nataka nijue watu walioitwa ili nijipime mwenyewe kabla sijaenda. Unaweza kunikumbusha idadi wanayoitaka ktk hiyo position, Mambo mengine ni ya kufikirika tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…