Clutch plate za gearbox auto

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Napenda kujua ni kitu gani kinachosababisha clutch plate za gia box auto ziungue, kwani jambo hili limenitokea mara mbili sasa nashindwa kujua nakosea wapi mwenye ujuzi anisaidie
 
1. Kama leakage ya hydrolick na kupungua kwa kiasi kikubwa husababisha hili.(Check na seal zote zilizopo kwenye gearbox na system yake kama inavuta nyuma(Real)).
2.Tumia hydrolick zenye viwango e.g za BP na zile special za toyota amabzo zipo kwenye debe la bati na maandishi mekundu.
3.Avoid ku- engage gear bila ku-press clutch button na break na rough driving(D to 2 or D to L to 2)

Nawakilisha
 
Nashukuru kwa maelekezo mazuri lkn bado nahitaji msaada zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…