Clouds wawahujumu MCT na UTPC

Clouds wawahujumu MCT na UTPC

Wasusujane

Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
18
Reaction score
6
Wanajamvi katika pita pita zangu leo hapa jijini Mwanza, nikawa nimepunzika Gold Crest Hotel, Mara nikasikia zogo wadada watatu nikaambiwa wanatoka baraza la habari MCT na UTPC, taasisi hizo kwa pamoja zimeandaa maadhimisho ya Siku ya haki ya kujua Duniani (The right to know day) yanayofanyika Mwanza kitaifa jijini Mwanza.Taasisi hizo zilifanya booking katika ukumbi wa Nyerere Gold Crest wiki tatu zilizopita, lakini Clouds na shughuli ya wanayoitangaza sana ya fursa wakafanya booking jumanne wiki hii, lakini ndiyo walopewa ukumbi.

Kulikuwa na patashika nzito wale wadada wakiwalaani wafanyakazi we hotel na njama chafu za clouds kufanya uhuni huo kwa kuwa wamewaalika manaibu mawaziri Makamba na Masele kwenye Semina hiyo ya fursa,, shughuli zote zinafanyika Jumamosi tarehe 28 Septemba, nilivyomaliza kwa wine kangu nikaondoka, najiuliza hivi clouds umafia hata kwenye taasisi zenu, nyie nao si chombo cha habari mnapaswa kushirikiana na wanataaluma wenzenu?

Lakini kanisikitisha Meneja wa Hoteli hiyo nimejua jina moja anaitwa Kimario, yaani alikuwa anawajibu dry wale wadada mmoja nusura washikane, niliondoka nikaacha mzozo unaendelea sijui umeishaje, lakini clouds walishanza kupamba ukumbi, kaaaaaaaz kweli kweli!
 
Vinega wako wapi?
Anaconda uko wapi?
 
Nilikuwa najaribu kutafuta nini chanzo au Golden Crest wamejisahau ila nilivyoona jina la huyu manager nikasema BHAAAAAAS....... mchezo umeshakwisha watu wameshalizwa hapo......
pembeni yumo RugeMALILA...... kwisha habari yenu
 
Matamasha ya Fiesta yangedoda mwaka huu bila Clouds kutumia program ya fursa kushirikisha viongozi wa taasisi za umma kuhamasisha wananchi wa maeneo yao kwa kisingizio cha semina uchwara za FURSA.
 
clouds ni majangili kama hamjuhi, kwanza wanajikweza kwa magamba
 
Back
Top Bottom