Clouds TV

Clouds TV

Mbona Cjawaelewa Ni Vipindi Vyote Au Ni Baadhi Ya Vipindi{maalum}
 
Kwani huwa ni kila siku au kuna siku maalum wakiamua?? let say wanaweza kuonyesha mara moja baada ya miezi mitatu!!!!!!



Wanafanya kitu kizuri
Wanatakiwa wawe wabunifu kwenye vipindi ....
Nani anataka kumuona babra au Gerald au pj au b12 kupitia tv ....ili iwejeeee saaaasaaaaaa....!!!!

Huo ni ufujaji wa muda, rasilimali kwa kuonyesha vipindi vya redion kupitia tv.

Mara mia watuonyeshe mizikiii, movie tu kama wamekosa cha muhimu cha kuonyesha.

Ushauri wangu .
Watumie internet tu kuonyesha vipindi hivyo vya redion.
 
Back
Top Bottom