autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Clouds fm wamekuwa wakirusha na kuonyesha vipindi vyao vya redioni kupitia tv na mtandaoni.
Nataka kujikita hapa kwenye tv.
Pongezi kwa kutumia kiteknolojia vizuri.
Turudi kwenye mjadala.....
Je clouds tv imekosa mvuto ndo maana wanatumia vipindi vya redioni kuipandisha???!!!!
Kwanza watangazaji wenyewe hawako huru kama wanavyokuwa kwenye redio kabla tulikuwa hatuwaoni.
Je huku ni kukosa ubunifu wa kutengeneza vipindi vyenye mashiko??
Je wanakwepa gharama za kuandeshaji??!!!!