clouds tv wange impove quality ya picha kwanza
wanaumiza macho
Tupatie frequency zake na hiyo satellite iko degree ngapi mkuu?
| The EIRP values are for Tanzania, United Republic of |
ingiza hii freq 12273 symbol rate 11200 hwakuu,napenda kuwajuza rasmi kuwa wale wasio tumia vingamuzi vya ting au star times bali wanatumia dish ni kuwa clouds tv wameingia kunako satelite rasmi.lakini wako wetsal 4 kwa receiver ya mpeg 4 kwani hizi dvb recevers hazikubali .nimejaribu nimeshndwa kabisa.
Lakini sasa wenye cable services wanaipata safi sana