Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Hiyo ZBC ni ya wapi mkuu? Au ndiyo mwendelezo wa typing error katika typing era?Hiyo typo error mimi huwa naona katika tv zote za ndani huku ZBC ikiwa kinara pamoja na umahiri wao wa kuongea lugha kwa ufasaha
ZBC ni shirika la utangazaji Zanzibar.Hiyo ZBC ni ya wapi mkuu? Au ndiyo mwendelezo wa typing error katika typing era?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahariri si ndo akina Adam Mchovu kuna Mhariri aliyesoma Clouds?
Huko sijui ni kukosa kazi au ni ujuha tu hata sielewi.. Kwahyo hyo ndio sababu iliyokufanya uwahi asubuhi yote hii kuja kuandika hapa,?Jana Clouds TV wakitangaza taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku waliandika jina la rais wa JMT walimwandika kama JOHN PIMBE MAGUFULI hili ni kosa dogo la kiuandishi lakini wahariri hii ni aibu kwenu kulikosea jina la Rais kuanzia mwanzo wa taarifa mpaka mwisho jirekebisheni.
Wahariri si ndo akina Adam Mchovu kuna Mhariri aliyesoma Clouds?
Tusitetee ujinga kwa kivuli cha kawaida sana kutokea! Mhariri una kazi gani? Boss wangu alikuwa na kawaida ya kutuambia kabla hujatuma ripoti kwenye mtandao hakikisha umeisoma, umeisoma na umeisoma! Maanake nini? Kama kuna typing errors utakuwa umeziona na kurekebisha, sasa mihariri hopeless kama Shindu Namwaka inapokea na kurusha hivyo hivyo utafikri inawahi nyumbani kukamata ugoni!Ni kawaida sana kutokea
Huko sijui ni kukosa kazi au ni ujuha tu hata sielewi.. Kwahyo hyo ndio sababu iliyokufanya uwahi asubuhi yote hii kuja kuandika hapa,?
Kwenye hiyo Pimbe hiyo e ingekuwa i ingeleta ukakasi zaidi.Hahaha eti john pimbe...!!
Ahsante mkuu. Nadhani kwa bara hiyo ZBC ina audience ndogo sana.ZBC ni shirika la utangazaji Zanzibar.
ZBC sio hawana weledi wa kiswahili. Wanaijua vizuri ile lugha ya mashariki ya katiHiyo typo error mimi huwa naona katika tv zote za ndani huku ZBC ikiwa kinara pamoja na umahiri wao wa kuongea lugha kwa ufasaha
hapo lazima mtu .......angefungwa jela ..... kha!Kwenye hiyo Pimbe hiyo e ingekuwa i ingeleta ukakasi zaidi.