Clouds TV, huyu Ngoma ni kimeo

Ha ha haaaa mimi yangu mate maji na damu wacha movieeee indeleee
 
Juzi alikuwa Bwana Ruge anazungumza katika maelezo yake ya kujisifu alisemaga yakuwa Clouds watangazaji wake hakuna hata mmoja ambaye aliajiriwa kupitia cv bali wanachoangalia wao ni kipaji tu,hapo napo ni ubabaishaji tu
 
Namuona hapa anapoteza hoja ya mgeni kuhusu mzunguko wa fedha
 
sasa wewe maoni yako yap???ina hata clouds ruge juzi kasema mm sijamwajiri mtu kisa cheti chake ila nimeangalia utendaji ndo nkawachukua au kuna mtu niliangalia cheti??nasi usishangae pia mi naunga mkono hoja vyeti ni makaratasi ila akili ya kutenda ndo muhimu usilete ujinga wako....wasomi bongo bhanaaaaa.
 
acha zako bhna
 
Asante Baby Cabaye kumuelewesha huyo jipu asiyeelewa falsafa ya Fidelism
Congrats Mgeni Sabath kwa uelewa mkubwa
 
Huyu jamaa mapepe saana ktk kuhoj na kutoa hoja HAWEZI kwa Mtazamo Wangu Mm.
 
Nauliza tu yule kamoga aslikuwa anasema anaona flusa nyingi sana mikoani vp kwake hajatangaza tu flusa. nauliza tu jamani
 
Bila kumsahau kicheko wa ile miziki, I mean kelele zinazoitwa singeli!
 
Nakujibu hivi, Hassan Ngoma si mwajiriwa wala mtangazaji wa Clouds, ni mwalikwa tu katika hicho kipindi. Yeye ni mmliki wa Chuo kimoja huko Mbezi, Mlimani Professional School. So Acha Unafiki kwa mambo usiyoyajua.

Khasante mkuu....yaani watanzania sijui kwa nini tuna roho mbaya kiivi....wanafurahia anguko la mtu katika maisha.....hapo kuna mtu kaandika clous fukuza huyo niajili mm....dah!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…