Hakuna aliyesema afukuzwe kazi bali ajirekebishe ama apangiwe kipindi atakachomudu
Kweli huwa siwezi angalia kipichi chao Kwa zaidi ya dk 5Hebu acheni jamani,... Sasa akifukuzwa kazi mtafaidika nin?? Hilo liclouds Lina watazamaji wake, wenye uelewa mdogo Kama hao watangazaji.
Nakujibu hivi, Hassan Ngoma si mwajiriwa wala mtangazaji wa Clouds, ni mwalikwa tu katika hicho kipindi. Yeye ni mmliki wa Chuo kimoja huko Mbezi, Mlimani Professional School. So Acha Unafiki kwa mambo usiyoyajua.Mtangazaji Hassan Ngoma aliyekuja kuziba nafasi ya Hudson Kamoga katika kipindi cha Clouds 360 baada ya yule mwingine kuondolewa anaonekana kutoimudu nafasi vema kutokana na hoja zake wakati wa kujadili habari za magazetini kuwa zenye uelewa finyu ama potofu.
Kwa mfano leo nimeona akizungumzia zoezi la uhakiki wa vyeti huku yeye kama anapotisha kuwa uhakiki utazame performance na sio vyeti jambo ambalo ni kinyume na zoezi na sheria kuwa mtu upate hiyo kazi kwa vyeti halali na si vinginevyo.
Tukitazama performance tu basi tunahalalisha makosa hayo ya forgery
Hii ni kama kufurahia safaka za muumini aliyezipata kwa njia chafu kama mauaji wizi n.k. Clouds hapo mmelamba ile karata maarufu iitwayo GARASA maana naona naye anaongea kwa upofu kama vile nae atapata ukurugenzi.
Bora hicho kiti cha tatu wawe wanakalia wageni waalikwa na na watangazaji wa column za sports. Huyo Dada na Chalii wake wanatosha kabisa kama amekosekana mtu mwenye weledi wa kuchambua habari.
Nakujibu hivi, Hassan Ngoma si mwajiriwa wala mtangazaji wa Clouds, ni mwalikwa tu katika hicho kipindi. Yeye ni mmliki wa Chuo kimoja huko Mbezi, Mlimani Professional School. So Acha Unafiki kwa mambo usiyoyajua.
Daa!Wabongo kwa roho nzuri hatujambo.Tatizo letu kubwa tunapenda kuwalinganisha watu na tunatamani watu wafanane kwa kila kitu.Mwanahabari anaweza kuwa na hoja au swali la uchokozi hivi against hoja iliyopo mezani,lakini nia kubwa ni kufikia suluhisho la pamoja.NawasilishaMtangazaji Hassan Ngoma aliyekuja kuziba nafasi ya Hudson Kamoga katika kipindi cha Clouds 360 baada ya yule mwingine kuondolewa anaonekana kutoimudu nafasi vema kutokana na hoja zake wakati wa kujadili habari za magazetini kuwa zenye uelewa finyu ama potofu.
Kwa mfano leo nimeona akizungumzia zoezi la uhakiki wa vyeti huku yeye kama anapotisha kuwa uhakiki utazame performance na sio vyeti jambo ambalo ni kinyume na zoezi na sheria kuwa mtu upate hiyo kazi kwa vyeti halali na si vinginevyo.
Tukitazama performance tu basi tunahalalisha makosa hayo ya forgery
Hii ni kama kufurahia safaka za muumini aliyezipata kwa njia chafu kama mauaji wizi n.k. Clouds hapo mmelamba ile karata maarufu iitwayo GARASA maana naona naye anaongea kwa upofu kama vile nae atapata ukurugenzi.
Bora hicho kiti cha tatu wawe wanakalia wageni waalikwa na na watangazaji wa column za sports. Huyo Dada na Chalii wake wanatosha kabisa kama amekosekana mtu mwenye weledi wa kuchambua habari.
Anachonikera yeye anachangia kila habari,hata ambayo hana uelewa nayo.Kiufupi anatembelea nyota ya kamoga ya kujipendekeza kwa watawala.Big up Sam Msasali,ila ukiendelea kuwa neutral hivyo basi teuzi zitakuwa zinakupita kushoto.Mtangazaji Hassan Ngoma aliyekuja kuziba nafasi ya Hudson Kamoga katika kipindi cha Clouds 360 baada ya yule mwingine kuondolewa anaonekana kutoimudu nafasi vema kutokana na hoja zake wakati wa kujadili habari za magazetini kuwa zenye uelewa finyu ama potofu.
Kwa mfano leo nimeona akizungumzia zoezi la uhakiki wa vyeti huku yeye kama anapotisha kuwa uhakiki utazame performance na sio vyeti jambo ambalo ni kinyume na zoezi na sheria kuwa mtu upate hiyo kazi kwa vyeti halali na si vinginevyo.
Tukitazama performance tu basi tunahalalisha makosa hayo ya forgery
Hii ni kama kufurahia safaka za muumini aliyezipata kwa njia chafu kama mauaji wizi n.k. Clouds hapo mmelamba ile karata maarufu iitwayo GARASA maana naona naye anaongea kwa upofu kama vile nae atapata ukurugenzi.
Bora hicho kiti cha tatu wawe wanakalia wageni waalikwa na na watangazaji wa column za sports. Huyo Dada na Chalii wake wanatosha kabisa kama amekosekana mtu mwenye weledi wa kuchambua habari.
Sasa yeye anamaliza kabisa,tena anatoa na namna ya utekelezaji na anaconclude kuwa ndio namna bora.Halafu anaweka nukta,anamwambia Sam endelea na habari nyingine.Daa!Wabongo kwa roho nzuri hatujambo.Tatizo letu kubwa tunapenda kuwalinganisha watu na tunatamani watu wafanane kwa kila kitu.Mwanahabari anaweza kuwa na hoja au swali la uchokozi hivi against hoja iliyopo mezani,lakini nia kubwa ni kufikia suluhisho la pamoja.Nawasilisha