ZIRO
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 896
- 658
Hongereni kwanza kwa kuingia rasmi katika vifurushi vya kingamuz cha dstv.Mimi ni mdau wenu sana ila naona kama mmeingia bila kuwa makini,ni chaneli no 294 na imekua na quality ndogo kwa mfano sauti iko chini tofauti na chaneli zote zilizopo.Ukiweka tu clouds tv lazima uongeze sauti ya kingamuzi na ukitoka kwenda chaneli nyingine inabid upunguze sauti.Tatizo jingine ni sauti inawahi kuliko mtu anaeongea,unaona mtu anatamka nyuma sana sauti ishapita kitambo.
USHAURI, Kama mnataka kubaki katika ushindani embu badilisheni hayo mapungufu hata mfanane na chaneli nyingine maana inaonesha low quality sanaaa........
USHAURI, Kama mnataka kubaki katika ushindani embu badilisheni hayo mapungufu hata mfanane na chaneli nyingine maana inaonesha low quality sanaaa........