Clouds Radio inapojadili suala la kunguni katika vyuo

Binti Msichana

Senior Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
109
Reaction score
249
Tangu jana kituo cha Radio Clouds katika kipindi chake cha Power Breakfast watangazaji wa kituo hicho wanajadili kukithiri kwa kunguni katika chuo hicho kinachotoa mafunzo ya biashara kilichopo mkoa wa Dodoma.Chuo hiko kina matawi Dar es Salaam na Dodoma.

Hii imekaaje ? Ni busara kwa Siku mbili mfululizo kukiandama chuo hiko kwa taarifa hizi bila ya kuwasiliana na uongozi wa chuo ?
 
sasa hivi ni kutumbua tu swala la kuwasiliana na mhusika hakuna.
 
Unashangaa ilo mkuu!!! Marekani wenyewe wanaangaika na hao wadudu sembuse CBE kunguni ni wabaya sana
 
Ni uzembe wa hali ya juu kwa taasis kama chuo kuelemewa na kunguni!
 
Dah inamaana hata wale mastaduu niwaonao nao wana kunguni,clouds ebu acheni masihara nyie
 
labda ni mradi wa chuo kufuga hao viumbe maana china kila kiumbe ni dili na hao kunguni wana protini nyingi pia supu yake inaongeza nguvu za kiume
 
Tangu jana kituo cha Radio Clouds katika kipindi chake cha Power Breakfast watangazaji wa kituo hicho wanajadili kukithiri kwa kunguni katika chuo hicho kinachotoa mafunzo ya biashara kilichopo mkoa wa Dodoma.Chuo hiko kina matawi Dar es Salaam na Dodoma.

Hii imekaaje ? Ni busara kwa Siku mbili mfululizo kukiandama chuo hiko kwa taarifa hizi bila ya kuwasiliana na uongozi wa chuo ?
Sijaona mantiki ya wewe kuona mjadala wa siku mbili ni shida...

Wewe huyo huyo unaweza ukaona ni sawa kujadili magonjwa yanayosababishwa na kunguni kwa wiki
 
Tangu jana kituo cha Radio Clouds katika kipindi chake cha Power Breakfast watangazaji wa kituo hicho wanajadili kukithiri kwa kunguni katika chuo hicho kinachotoa mafunzo ya biashara kilichopo mkoa wa Dodoma.Chuo hiko kina matawi Dar es Salaam na Dodoma.

Hii imekaaje ? Ni busara kwa Siku mbili mfululizo kukiandama chuo hiko kwa taarifa hizi bila ya kuwasiliana na uongozi wa chuo ?
Kwahio ulikuwa unashauri wakawasiliane na uongozi wa chuo kupewa ruhusa ya kuzungumzia hao kunguni au?
 
duh wale wadudu wanang'ata sana ucku na ukijitingisha wanakimbia kama magari ya mashindano (langalanga) kuwai kwenye maficho Yao.
 
Nilisikia pia eti kunguni wa mtaani walipeleka malalamiko yao TCU kwamba hao kunguni wa chuo wanadharau sana yani kila asubuhi wanatoka chuo wanaenda kuswaki off campus basi wanatema mate kila sehemu.

Km vipi wajengewe hostel zao au kama wamemaliza chuo wafanyiwe graduu na wavae majoho ni haki yao kisheria.
 
labda ni mradi wa chuo kufuga hao viumbe maana china kila kiumbe ni dili na hao kunguni wana protini nyingi pia supu yake inaongeza nguvu za kiume
Hii nayo ni fursa mojawapo ngoja niifuate kabla Bosi Ruge hajaitangaza hewani
 
Nilisikia pia eti kunguni wa mtaani walipeleka malalamiko yao TCU kwamba hao kunguni wa chuo wanadharau sana yani kila asubuhi wanatoka chuo wanaenda kuswaki off campus basi wanatema mate kila sehemu.

Km vipi wajengewe hostel zao au kama wamemaliza chuo wafanyiwe graduu na wavae majoho ni haki yao kisheria.
Kila watu wanne mmojawapo ni mgonjwa,nahisi nawe utafiti huu unakuhusu,Mheshimiwa Magu hebu rudisha elimu ya watu wazima nao wapate elimu bure
 
Back
Top Bottom