2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Dear Mawingu Fm,
Tume hewa ya Nape imesha bounce kitambo, mkiona hamridhiki nendeni Mahakamani. Hapo ndipo mtampata haki,
Ila mjue hata Daudi akitokea akafungwa, rais anaweza tengua hukumu kwa ile inaitwa.. Presidential pardon.
Pia mfahamu baba na Mwana wanaelewana ile Mbaya...
So mnaweza kusamehe pia. Ili msidhurike zaidi. Kama vipi shindaneni na chuma cha RELI.