Ukifungua redio Clouds kutwa ni kulalamika tuu....kaa kaaa, usiwe kaa usiwe kaa, tubebaneee tubebanee !
Alivyovibeba Ruge inatosha bana mnatokera wasikilizaji wenu na vijembe na mipasho isiyoisha !
Acheni uswahili baana !
kaa sasa kaboresho kaongezewa jini na shetani mwisho wa siku hitakuja kukamilika kuwa nyimbo,kila kukicha kaa anaongezwa maneno na mifananishoUkifungua redio Clouds kutwa ni kulalamika tuu....kaa kaaa, usiwe kaa usiwe kaa, tubebaneee tubebanee !
Alivyovibeba Ruge inatosha bana mnatokera wasikilizaji wenu na vijembe na mipasho isiyoisha !
Acheni uswahili baana !
Umeonaa ! Mpaka wamekuwa wajinga banaa !kaa sasa kaboresho kaongezewa jini na shetani mwisho wa siku hitakuja kukamilika kuwa nyimbo,kila kukicha kaa anaongezwa maneno na mifananisho
Yaani wanamtukana mpaka anajua !clouds wanahitaji mwanasaikolojia ili wapambane na adui yao,kwa staili hii watawakera wengi, adui unahitaji umjue udhaifu wake kisha mbane mbavu kwisha hbr yake.. ngoja waendelee kupiga kurunzi redion wkt kushtuka wameshabanwa wao!
Ushauri mzuri mkuu, maana si mchana si usiku, kaaa...kaaa...kaaa ! ..aaagh !
Gea ya Fuso au Mwendokasi?Kaa mdogo wewe ! Pumbavu, akili zako kama gea !
Tujchangeni jamani,tuipeleke Nairobi hospital huko watasahau shidddah!clouds wanahitaji mwanasaikolojia ili wapambane na adui yao,kwa staili hii watawakera wengi, adui unahitaji umjue udhaifu wake kisha mbane mbavu kwisha hbr yake.. ngoja waendelee kupiga kurunzi redion wkt kushtuka wameshabanwa wao!
Sikiliza Ebony mkuu.Nimefungua kipindi cha michezo, dakika 2 nzima kaa...kaaa...kaaa mara jini ...aaagh !