kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,005
Clouds acheni vituko na kuchekesha. Timu kama Simba ikimchezesha Moro atakuwa anapigwa umeme kila siku. Hachezi mpira yule anacheza mieleka. Ni vile tu yuko utopolo na wanabebwa sana kwa mchezo wao wa kihuni ndio maana mnamuona huyo Moro anajituma.
Naweza kumkubali Tuisila na Tonombe pekee ila si hao wengine. Na bado wanaweza kuanzia benchi vilevile.
Naweza kumkubali Tuisila na Tonombe pekee ila si hao wengine. Na bado wanaweza kuanzia benchi vilevile.