Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

isome tena barua ya manispaa,
 
Naona wamepata aibu baada ya mwanadada CarolNdosi kuwavua nguo kwa kuujulisha umma kuhusu roho mbaya zao.

Haipendeze kabisa mwanaume mzima kuwa na roho mbaya,roho ya husda na chuki. Hizo ni tabia za kike.
Caro Ndosi kaandika nini wapi?

Ila jamaa wana roho mbaya sana ,kitendo walichowafanyia akina Joel Lwaga kule Arusha had wakalazimika kuhamisha tamasha kutoka uwanja wa sheick abeid karume had kupeleka church,huku wakilazimika kuingia hasara kubwa na yote kwa sababu ya figisu zao ndicho wacost
 
Makond alikuwa anawachekea kinafiki😁😁😁😁 sasa kafanya alivyotaka kufanya kamaliza na leo mtamuona anaibukia nagwanda ndio mjue makonda mchawi tena anawanga mchana kweupe
 
Kwani Chuga fiesta haikufanyikia Sheikh Abeid mkuu?
 
Isije ikawa jamaa yetu mgonjwa amefariki,wanaficha tu
wamenyimwa kibali kutumia leaders club....... awali walipewa kibali ila sasa manispaa imetengua!.....


uwe unasoma attachment zote sio kukimbilia kucomment
 
Naona soud brown...kahamia kupiga promotion kwa kiba(show ya kahama)....daaa wcb sio watu wa mchezo mchezo
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mtu unamwambia abadili jukwaa within 24 hours kweli?
 

Wanazimaje fiesta wakati hata Mkuku alishawapigia LIVE sijui mwaka gani???

Nazani siku ile ilikuwa "zima zima zima mziki mkuu anataka kuongea na vijana wake..." nawaza tu,
Wanafiki huwajui mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…