Clouds Habari hovyo kabisaaa

Kapiga atafutiwe kipindi kingine sio kusoma habari, mbona kuna wale wadada wanapiga poa tu
 
Yaani mtu unataka kuangalia taarifa ya habari una tune clouds tv kweli?
Hivi chanel ambazo ziko serious hamzioni?
 
Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.

Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anajua kuliko yeyote.
Kasome wewe bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…