Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
Wakuu, leo nimekereka ajabu. Nikiwa tu ndo namaliza kusikiliza kipindi cha michezo cha radio Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa kipindi ni kufusu fainali ya UCL kati ya Manchester City na Chelsea huko Ureno leo hii.
Sijawasikia kuzungumza habari yoyote ya ligi yetu hasa ukizingatia kulikuwa na mechi kati ya Namungo FC dhidi ya Simba SC leo hii.
Nilitaka kuiweka hii kule kwenye michezo lakini nimeona hili linahusu zaidi Uzalendo hivo 'mods' naomba wanielewe.
Nilivojawa na hasira nilitaka kujiapiza kutosikiliza tena kipindi hicho cha michezo cha Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku.
Nimekereka mno.