Clouds fm nini tatizo?

kinjumbi one

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
1,696
Reaction score
2,159
Waungwana clouds FM kimewatokea nini? Mbona haina nguvu kama zamani? Namaanisha frequency zao siku hizi zipo chini sana uki tune station yao inafokafoka tu. Yaani kwasasa wanaopatikana bila kuinua antena ni RFA wasafi na TBC. Wakati mwanzo wao ndio walikua wanapatikana bila kuinua antenna.
 
Umeandika uzi wako ukiwa wapi mkuu?
 
Nilikuwa mkoa wa rukwa mwezi uliopita clouds kupatikana ni shida kwakweli,
 
Hivi ni app gani naweza tumia kusikiliza radio online maana nyingi nilizojaribu kila nikifungua nakuta radio zipo offline
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…