Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,735
Hahaa mwambieee...ila haunogi clouds kama unavyonoga efm asikwambie mtuuuuuuuugwisaa bahariaaa
ni mziki wa uswazi huu kama we wa kishua huwezi kuuelewa mkuu
Jamani Clouds Fm mnaboa sana. Huu mziki wa singeli sijafaham mnaupendea nini? Maana hauburudishi wala kuelimisha. Yaani ni kelele tu hadi napata ukakasi nakubadili stesheni redio.
Wakuu niambieni ninyi mnaupendea nini huu mziki wa singeli?
Wana watu wao wanapenda hizo ngoma, hukuwa na haja ya kufungua sredi, kama ulibadilisha channel then you have done your best!!
Wako ICU hao wasamehe bureeeJamani Clouds Fm mnaboa sana. Huu mziki wa singeli sijafaham mnaupendea nini? Maana hauburudishi wala kuelimisha. Yaani ni kelele tu hadi napata ukakasi nakubadili stesheni redio.
Wakuu niambieni ninyi mnaupendea nini huu mziki wa singeli?
Watakuw wamevimba kichw kuwa chochote wanaweza na mengi wamejarbu wameweza hasa kuwapa promo wasani wachanga ila kwa huu mziki wawaachie wana daslam hususani uswaziWako ICU hao wasamehe bureee
miss chagga unapenda baikoko nini? Mimi naona bora ya baikoko kuliko huo muzikikila mtu anamikato yake
sipendi hata mmoja kati ya hizo huwa natoa nikisikia hizo .. japo naamini kuna watu baadhi wanapendamiss chagga unapenda baikoko nini? Mimi naona bora ya baikoko kuliko huo muziki
Acha tusiingilie uhuru wa watu wengine. Mimi binafsi huw napenda hiphop, blues, raggae ton, bongo flava and other african busics lakin sio singelisipendi hata mmoja kati ya hizo huwa natoa nikisikia hizo .. japo naamini kuna watu baadhi wanapenda
kweli kabisa ukiona inakukera we badili stesheniAcha tusiingilie uhuru wa watu wengine. Mimi binafsi huw napenda hiphop, blues, raggae ton, bongo flava and other african busics lakin sio singeli
unanoga popote hata ukipigwa bbc worldHahaa mwambieee...ila haunogi clouds kama unavyonoga efm asikwambie mtuuuuuuuu