Clouds FM msaidieni Minna Ally

Nachojua udaktari ndo hauhitaji kufanya makosa au kama ni makosa yawe machache sana. Lakin hizi fani zingine mmmh....50%/50%
 
Mimi nimesha acha kabisa kusikiliza clauds
 
Siungi mkono wanaomwandama na kumsema vbya..ila labda niseme tuu kuwa..kazini sio mahara pa kujifunza kazi isipokuwa ni mahali pa kufanya kazi, kupata uzoefu na kuongeza ubunifu..hivyo ukisema ajifunzie wapi(japo siamini kama hajajifunza) hapo n dhahili hapatakuwa mahali pake...labda nishauli tuu clauds entertainment kuwa huyu ni mtangazaji mzuri kwa aina ya kipindi kinachofanania na yeye kama kile cha jmosi alichoanza nacho..ila kipindi cha AYO ni sensitive na serious kidogo..pia tone ya kipindi na tone ya millard vinaendana sana ila tone ya mdadaa haiendani na tone ya kipindi(hapo ni ki taaruma zaidi) namanisha ukimsikiliza kijana wa zamani na aina ya habari na kipindi na muda wa kipindi vinaendana..mdadaa anapaswa kukaa vipindi kama xxxxll, kile huwa sisikilizi labda niwe sina kazi nataka kucheka (leo leo tena)..ila amplifier na brkfact c vipind vya mamie huyo...namalizia..si kuwa hawezi kutangaza ni mtangazaji mzuri sana sana kwa aina ya vipindi vyake kama ujasiriamali na vijana vijana..hapo n bect..ila kule ningeshauli mtoeni mana mie n msikilizaji mzuri wa kipindi hicho sasa sikuhizi na hivi kijana wa zamani yupo USA nimepunguza kiukweli usikilizaji..MSIMTOE KAZINI NI MIONGONI MWA WATANGAZAJI BORA WA KIKE KWA VIPINDI VYA AINA YA VIJANA.. Ila sio serious information session.. Uko vzr mamaa
 
Kwa kweli huyu binti sio kwamba watu wanamuonea, anatakiwa kujirekebisha kidogo kwenye uendeshaji wa hicho kipindi. Anazidisha jokes mpaka anaboa sijui ni utoto! wakati mwingine Millard Ayo huwa anajaribu kumcontrol lakini wapi!
Hv ayo hajapga kweli ? maana huwa siwaelewi elewi #maendeleo hayana chama
 
Kwa kweli UMENENA VIZURI SANA huyu Dada pia amemwaribu Millard Ayo kipindi ni kibovu kweli kweli, hata sasa hivi Millard akiwa peke yake bado athari za huyu anaejiita Meena Ally zinamkumba UONGOZI badilisheni hawa watu !!!
 
Jana walikuwa wanazungumzia story za kaka zao wajomba zao shangazi zao kwenye kipindi yaani ni michosho hao watu MILLARD+MEENA waondoke ktk kipindi hicho hakina maana yeyote siku hizi
 
Kipindi cha amplifaya kinafaa watu kama.
1.Askofu TZA.
2.Musa husein.
3.Maiko lukindo a.k.a Informer
Mina Ali anachemka sana hadi anaboa.
Mina awekwe xxl, naona km yule sister wa xxl kapoa, alafu hando kuondoka pb Kama imepwaya fulani hivi, anyway Clouds bado wanavibe
 
Mwacheni napenda kusikiliza aina ya vocal yake ..ni Kama mheshimiwa mdee.. Na muda mwingi ni mchangamfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…