mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
Thumb up kwa Askofu au Mr informer Michael Yule Dada simwielewiKipindi cha amplifaya kinafaa watu kama.
1.Askofu TZA.
2.Musa husein.
Mina Ali anachrmka sana hadi anaboa.
Kuna muda Askofu alikuwa anafanya kipindi Millard akiwa hayupo ilikuwa poa at least.Thumb up kwa Askofu au Mr informer Michael Yule Dada simwielewi
Mkuu y ucngetafuta mbadalaa wa neno "manyani"Kikifika hicho kipindi naona tu bora nizime redio kuliko kusikiliza manyani...
Awape wahusika apo juu mmoja wapo yeye afanye mengineAnasoma humu na hajui afanye nini.
Usijali ntalifanyia kazi suala lako.Nakuahid hutamsikia tena kweny kipndi hichoKwa kweli kilipokuwa kimefika kipindi na Millard Ayo,na sasa hasa anapokuwa hayupo Millard kweli,kabisa hajiwezi kabisa,kwanza hana ueledi mpana wa mambo,pia hajui wapi awe serious ama wapi awe ki entertainment zaidi,kama mnalazimika kuwa naye mpeni fair feedback msifariji ana haribu na nyie mtakuwa kama hamjitambui kuto mkosoa uandishi ni kukosoana ili kuboresha.Mawazo yangu kwa nia njema ya kujenga kama shabiki pia wa kipindi hicho.
Usimseme kwa nguvu tumia maneno malaini kdg ni mwanamke ujue legeza legeza kdg mukuuHakajielewi kale ka asha ngedere