Clouds FM Moshi Kilimanjaro

Kelvin X

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,940
Reaction score
2,403
Mbona hampatikani toka juzi, kwenye 87.9?
 
Kawaulize kule fb au Insta wana account zao kule huku sidhani kama wapo
 
Kwanza mji wenyewe haukui,kila ukienda unazidi kuchakaa,bora hata hiyo clouds isipatkane.
 
Achana na hiyo redio ya makanjanja, sikiiza TBC Taifa 87.5 ukweli na uhakika
 
Jf Imenikolea , Cna Cha Redio Hata News Cnaga Ham Nayo Sana Labda Bbc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…