N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Jan 5, 2024 #1 Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,499 Reaction score 27,784 Jan 5, 2024 #2 leo wanasheherekea birthday ya mwijaku kwaiyo wapo wanazindua nyumba huko kgamboni office nzima wapo likizo kwa leo
leo wanasheherekea birthday ya mwijaku kwaiyo wapo wanazindua nyumba huko kgamboni office nzima wapo likizo kwa leo
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,210 Reaction score 24,512 Jan 5, 2024 #3 nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Acha wafu wazikane.....
nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Acha wafu wazikane.....
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 28,596 Reaction score 44,894 Jan 5, 2024 #4 Hata clouds tv nayo haipo hewani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,868 Jan 6, 2024 #5 Ngoja waje...
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,614 Reaction score 21,296 Jan 6, 2024 #6 Kwani lazima?
D David Goliath JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 949 Reaction score 1,893 Jan 6, 2024 #7 nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Bado mnasikiliza Redio ? Hiiii bhagosha
nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Bado mnasikiliza Redio ? Hiiii bhagosha
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,347 Reaction score 62,353 Jan 6, 2024 #8 Itakua underground
kajunjumele JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,490 Reaction score 1,363 Jan 6, 2024 #9 nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Yaani hawa jamaa wanaboa,..Wanakata matangazo kama TANESCO vile,..naona wameshatuzoea wasikilizaji..
nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Yaani hawa jamaa wanaboa,..Wanakata matangazo kama TANESCO vile,..naona wameshatuzoea wasikilizaji..
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,464 Reaction score 6,900 Jan 6, 2024 #10 Nilijua kwangu tuu, Jana toka asbh kimya
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,935 Reaction score 53,966 Jan 6, 2024 #11 Wanasafisha mic
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,307 Reaction score 5,785 Jan 6, 2024 #12 Safiii